KIKAO KAZI MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MFUMO WA SWMA NA RAIS.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,(SNR)kilichowashirikisha maofisa wa taasisi mbali mbali za Kiserikali ambacho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip .[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip katika Kikao kazi cha Maadhimisho ya miaka 2 ya Mfumo wa Sema na Rais,)SNR)kilichofanyika leo.[Picha na Ikulu] 29/03/2023.
Post a Comment