Header Ads

test

WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiingia  bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments