Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani Afrika, Jijini Arusha



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Johari Msirikale kuhusiana na jinsi Mamlaka hiyo inavyopambana navitendo vya Rushwa wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya
Mapambano dhidi ya Rushwa Barani Afrika yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC Jijini Arusha tarehe 11 Julai, 2023.
Post a Comment