Header Ads

test

WANAHABARI WANOLEWA JUU YA MRADI WA STADI ZA MAISHA NA MAADILI

 

Meneja Mawasiliano na Uchechemuzi wa Mradi wa Stadi za Maisha na Maadili (ALiVE) Afrika Mashariki, Bi. Devotha Mlay akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari katika warsha ya kuwajengea uwezo juu ya tafiti za Stadi za Maisha na Maadili, semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam na kushirikisha baadhi ya wanahabari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Ofisa Mkuu wa Mradi wa Stati za Maisha na Maadili (ALiVE) Tanzania, Bw. Samson Sitta akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari katika warsha ya kuwajengea uwezo juu ya tafiti za Stadi za Maisha na Maadili, kwa baadhi ya wanahabari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.



Sehemu ya wanahabari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wakifuatilia mada anuai katika warsha hiyo.

Sehemu ya wanahabari hao wakifanya kazi katika makundi mara baada ya kupata mada mbalimbali kwenye warsha hiyo..

Ofisa Mawasiliano, UWEZO Tanzania, na Mratibu wa Mradi wa ALiVE, Greyson Mgoi akizungumza na wanahabari hao, ambapo alisisitiza kuwa warsha hiyo inalengo la kuwajengea uwezo wanahabari waweze kuzifahamu kwa kina Stadi za Maisha na Maadili na kwa kutumia taaluma zao waweze kuelimisha jamii zaidi juu ya masuala hayo.  

Ofisa Mradi wa ALiVE kutoka Shirika la OCODE, Jafari Mzamva akiwasilisha mada yake kwenye warsha hiyo ya kuwajengea uwezo baadhi ya wanahabari nchini.

Baadhi ya wanahabari wakifuatilia warsha hiyo.


Ofisa Mkuu wa Mradi wa Stati za Maisha na Maadili (ALiVE) Tanzania, Bw. Samson Sitta (mbele) akisisitiza jambo alipokuwa akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari katika warsha ya kuwajengea uwezo juu ya tafiti za Stadi za Maisha na Maadili, kwa baadhi ya wanahabari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Meneja Mawasiliano na Uchechemuzi wa Mradi wa Stadi za Maisha na Maadili (ALiVE) Afrika Mashariki, Bi. Devotha Mlay akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari katika warsha ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya tafiti za Stadi za Maisha na Maadili, semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam na kushirikisha baadhi ya wanahabari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.


Meneja Mawasiliano na Uchechemuzi wa Mradi wa Stadi za Maisha na Maadili (ALiVE) Afrika Mashariki, Bi. Devotha Mlay akifafanua jambo katika warsha ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya Stadi za Maisha na Maadili.

Ofisa Mawasiliano, UWEZO Tanzania, na Mratibu wa Mradi wa ALiVE, Greyson Mgoi akisisitiza jambo kwa wanahabari walioshiriki warsha hiyo kutumia taaluma zao kuelimisha jamii zaidi juu ya masuala hayo.

Picha ya pamoja kwa baadhi ya waandishi wa habari walioshiriki katika warsha ya kuwajengea uwezo juu ya tafiti za Stadi za Maisha na Maadili.



No comments