Header Ads

test

MABASI MAWILI YAWAKA MOTO MLANDIZI MKOANI PWANI.



Usiku wa kuamkia leo Machi 28,2024 kumetokea ajali iliyohusisha mabasi mawili na roli la mafuta katika eneo la JKT Club karibu na Mlandizi mkoani Pwani.

Mabasi hayo ni Kampuni ya Sauli pamoja na New Force Taarifa zaidi za chanzo cha ajali hiyo na majeruhi zitatolewa baadaye leo na kamanda wa polisi. 

Endelea kutufuatilia kwenye page zetu Michuzi Tv, Michuzi blog kupata taarifa zaidi

No comments