DKT NCHIMBI ATOA AHADI UPANUZI MAEGESHO KIVUKO CHA MAGOGONI PAMOJA NA KIGAMBONI'
Na Mwandishi Wetu
.jpeg)
Katika mkutano huo,Dkt.Nchimbi pia alipata nafasi ya kuwanadi baadhi ya wagombea Ubunge wa mkoa huo akiwemo Mbunge wa jimbo la Temeke,Ndugu Mariam Kisangi pamoja na Madiwani.
Dkt.Nchimbi ni Mgombea mwenza wa Dkt Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 wakipeperusha bendera ya CCM.
Post a Comment