RAIS SAMIA KUTOA TUZO KWA WALIPAKODI BORA JULAI MOSI 2026 KATIKA HAFLA YA MIAKA 30 YA TRA
Julai 1, 2026 Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atatoa Ramsi Tuzo ya Mlipakodi bora kwa walipakodi waliokidhi vigezo ili kuleta Hamasa ya ulipaji kodi nchini na kuwashukuru kwa mchango wao mkubwa katika maendeleo ya nchi yetu.
Sambamba na hilo TRA itaadhimisha miaka 30 tangu kuanzishwa kwake Julai 1 1996 ikisherehekea mahusiano mazuri yaliyo jengwa kati ya TRA na walipakodi kwa miongo mitatu na kuchangia maendeleo ya kila sekta katika nchi yetu. TRA inawashukuru sana walipakodi wote kwa kuendelea kulipa kodi kwa hiyari na kwa wakati kwa kipindi chote cha miaka thelathini. Miaka 30 ya TRA kulipa kodi ni Uzalendi na Ushujaa kwa maendeleo na kujitegemea kwa Taifa letu.
Post a Comment