KUELEKEA SIKU YA FIGO DUNIANI
Mkurugenzi Mtendajii Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja Dkt. Muhiddin Abdi Mahmoud akizungumza na Waandishi wa Habari wakati alipokua Akitoa taarifa kuhusiana na siku ya FIGO Duniani ambayo huadhimishwa Kila ifikapo Alhamisi ya kwanza ya mwezi wa tatu ambapo kauli mbiu Kwa mwaka huu "Afya Bora ya FIGO kwa wote tuwaunge mkono wenye maradhi ya FIGO " ,hafla iliyofanyika Hospital ya Rufaa Mnazimmoja,machi 06,2023. PICHA NA FAUZIA MUSSA-ZANZIBAR
Post a Comment