WAWEKEZAJI WAITWA KUWEKEZA KATIKA UTALII IKOLOJIA
WAKALA wa Huduma za Misitu nchini TFS wametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje kwenda kuwekeza kwenye maeneo yaliyotengwa ndani ya misitu hiyo Kwa ajili ya shughuli za utali ikolojia.
Utalii huo wa ikolojia ni zao jipya la utalii nchini ambao unafanyika kwa umakini katika maeneo yaliyo hifadhiwa vizuri.
Wito huo umetolewa hivi karibuni na Mkuu wa sehemu ya kutangaza utalii ikolojia kutoka TFS, Anna Lauo, kutoka Wilaya ya Kisarawe Mkoani pwani.
Lauo amesema TFS imepandisha hadhi takriban misitu 20 ya asili kuwa Misitu ya Mazingira Asilia (Nature Forest Reserves) ambapo ndani ya misitu hii kuna viumbe na mi.ea adimu ambavyo havipatikani duniani kote.

Pia wasanii mbalimbali wametembelea vivutio hivyo ikiwemo kuzunguka mbuyu wa maajabu ambao kadri unavyouzunguka mara nyingi miaka ya kuishi inaongezeka.
Mkuu wa sehemu ya kutangaza utalii ikolojia kutoka TFS Anna Lauo akitoa maelezo ya mti pekee unaopatikana msitu wa Pugu Kazimzumbwi Kwa watalii pichani hawapo waliofika kutembelea hifadhi hiyo.
Wakala wa Huduma za Misitu nchini TFS wametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje kwenda kuwekeza kwenye maeneo yaliyotengwa ndani ya misitu hiyo Kwa ajili ya shughuli za utali ikolojia. Utalii huo wa ikolojia ni zao jipya la utalii nchini ambao unafanyika kwa umakini katika maeneo yaliyo hifadhiwa vizuri.
Akizungumza wilayani Kisarawe Mkoani pwani Anna Lawuo, Mkuu wa Sehemu ya kutangaza Utalii ikolojia TFS, amesema TFS imepandisha hadhi takriban misitu 20 ya asili kuwa Misitu ya Mazingira Asilia (Nature Forest Reserves) ambapo ndani ya misitu hii kuna viumbe na mimea isiyopatikana mahali kwingine duniani
Baadhi ya watalii wakifurahia mazingira mazuri ndani ya hifadhi ya misitu huku wakala wa huduma za misitu nchini TFS wakihamasisha wawekezaji kwenda kuwekeza Kwa maeneo yaliyotengwa ndani ya misitu.
Post a Comment