JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA SINGIDA YAMPONGEZA NDG. AHMED MISSANGA KWA MCHANGO WAKE

kwa mchango wako uliotutumia kwaajili ya ujenzi wa Nyumba ya Mtendaji wa Jumuiva ya wazazi wilaya ya Singida Mjini unaoendelea , Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Katibu Jumuiya ya Wazazi (W) Tarehe 23/5/2023
Post a Comment