WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAKUTANA NA WAZIRI WA UTUMISHI ILI KUPATA MAELEZO KUHUSU MUSWADA WA TUME YA MIPANGO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria chini ya Mwenyekiti wake, Mheshimiwa Dkt. Joseph Mhagama (Mb) ilipokutana na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais, Menejinenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene (Mb) ili kupata maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa Mwaka 2023.
PICHA NA BUNGE
Post a Comment