Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi aishukuru Serikali ya Saudia Arabia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi aishukuru Serikali ya Saudia Arabia kwa msaada wa tende tani 25 zilizotolewa na Serikali ya nchi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya King Salman Humanitarian Aid and Relief Centre.
Rais Dk.Mwinyi leo amezungumza na Kaimu Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania Mhe. Fahad Alharbi na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar ambaye aliwasilisha msaada huo na salamu kutoka Serikali ya Saudia Arabia.
Post a Comment