Header Ads

test

RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU TOWER) LEO JIJINI ARUSHA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo wakati wakivuta kamba kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo pamoja na viongozi wengine wakati wakitazama na kusikiliza maelezo juu ya Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo pamoja na viongozi wengine kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufungua Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo mara baada ya kufungua Jengo la PAPU Tower, Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Postamasta Mkuu Macrice Daniel Mbodo wakati akielezea kuhusu Mashine ya ATM ambayo mteja anaweza kujihudumia mwenyewe katika huduma za posta mara baada ya ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza akimsikiliza Postamasta Mkuu Macrice Daniel Mbodo kuhusiana na huduma mbalimbali za Posta mara baada ya ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Wafanyakazi wa Posta wakiendelea na majukumu yao mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kufungua kufungua Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lililopo eneo la Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Moyo wakati alipokuwa akikagua Ofisi mbalimbali zilizopo ndani ya Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.


Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower) lenye gorofa 17 ambalo limefunguliwa Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Philips Jijini Arusha tarehe 02 Septemba, 2023.

No comments