Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akirusha maua kwenye kaburi la Hayati Mahatma Gandhi lililopo kwenye Makumbusho ya Mahatma Gandhi Rajghat New Delhi nchini India, leo tarehe 09 Oktoba, 2023. (Picha na Ikulu).
Post a Comment