RC RUVUMA AKAGUA MRADI WA MAJI WA BILIONI 1.9 AWAAGIZA RUWASA KUWAINGIZIA MAJI WANANCHI NDANI
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimtishwa ndoo maji mama mmoja baada ya kukagua mradi wa maji katika kijiji cha Lipaya Kata ya Mpitimbi wilayani Songea ambao unetekelezwa gharama ya shilingi bilioni 1.9.
Mwenye suti ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua msukumo wa maji kwenye mradi wa maji kijiji cha Lipaya wilayani Songea ambapo serikali imetoa shilingi bilioni 1.9 kutekeleza mradi huo ambao umemaliza kero ya maji kwa wananchi wa Kata ya Mpitimbi ambapo jumla ya wananchi 3,886 watanufaika na mradi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wananchi wa Lipaya wakati anakagua mradi wa maji katika kijiji hicho unaotekelezwa na Serikali kupitia RUWASA.
Post a Comment