Header Ads

test

BREAKING NEWS: POLEPOLE ATANGAZA KUJIUZULU UBALOZI

"Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu. Historia itatoa tafsiri sahihi ya uamuzi wangu. Mungu awabariki," ameandiaka Balozi Polepole













No comments