TAASISI NA ASASI ZA ELIMU YA MPIGA KURA ZATAKIWA KUZINGATIA SHERIA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya
Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Tume na asasi za kiraia kuhusu uchaguzi
Mkuu wa mwaka 2025. Mkutano huo umefanyika leo Julai 30, 2025 Jijini Dar es
Salaam.

Sehemu ya wajumbe wa management ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ikiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki kutoka asasi za kiraia wakifuatilia mada katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki kutoka asasi za kiraia wakifuatilia mada katika mkutano huo. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume
Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima Ramadhani akizungumza wakati wa Mkutano
wa siku moja wa Tume na asasi za kiraia kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Mkutano huo umefanyika leo Julai 30, 2025 Jijini Dar es Salaam.
*****
Taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu zimetakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanunina maelekezo ya Tume.
Post a Comment