Kipeni Kura CCM kwa Maendeleo ya Kibaha Vijijini” – Mariam Ibrahim
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, leo Septemba 19, amemuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi jimbo la Kibaha Vijijini, mkoani Pwani.
Akiwahutubia wananchi wa jimbo hilo, Mariam aliwataka kumuunga mkono Rais Samia pamoja na wagombea wa ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili kuendeleza kasi ya maendeleo.
Post a Comment