Header Ads

test

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto awasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya
Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuwasili katika viwanja
vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa tarehe 04 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa tarehe 04 Mei, 2026.


. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.





Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akikagua Gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati wakielekea katika ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya mazungumzo, tarehe 04 Mei, 2026.



Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.



No comments