WAZIRI KAIRUKI AMEITAKA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUJIBANA KUPATA FEDHA ZA UJENZI WA SHULE YA GHOROFA
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angela Kairuki ameitaka Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kujibana kupata fedha za ujenzi wa Shule ya Ghorofa Kisungu iliyopo Tabata Kinyerezi Kata ya Kinyerezi.
Waziri Kairuki Amesema hayo Leo wakati wa ziara yake ya siku ya pili katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Leo ametembelea Kata mbalimbali za Jimbo la Segerea.
"Naomba mfikirie namna ambavyo mtakavyoweza kujibana katika fedha za matumizi ya ndani ambapo mmeruhusiwa kutumia asilimia 70 ya mapato ya ndani kwa ajili ya Maendeleo" Amesema Kairuki.
Waziri Kairuki amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanapata fedha za ujenzi wa shule hiyo ambayo makadirio ni bilioni 1.8 kama ilivyoelezwa na Mwandishi.
Hata hivyo Waziri Kairuki amemuagiza Mwandisi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuangalia namna ya kupunguza gharama hizo Hadi kufikia Bilioni 1.3.
Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam,Tabu Shaibu Amesema amepokea maelekezo hayo na Halmashauri itakaa na wataaalamu kuweza kuchakata hili kupata iliyopendekezwa na Waziri Kairuki.

Amesema kwa Sasa Halmashauri ipo katika hatua ya usanifu na imeshaleta wataaalamu wa kupima udo go katika eneo Hilo na kuangalia namna ya kufanya levo eneo Hilo.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Angela Kairuki akizungumza na Wanafunzi wa shule ya msingi Kisungu.
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa akiwasili katika shule ya Sekondari Kisungu
Post a Comment