MTOKO WA KIBINGWA WAFANA DABI YA KARIAKOO LUPASO
DABI ya Kariakoo yapambwa na Mabingwa 100 wa mtoko wa kibingwa huku Mnyama akitamba kwa bao 2 kwa 0 dhidi ya Yanga Sc Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.
Akizungumza mara baada ya Kumalizika kwa Derby hiyo Afisa Habari wa Betika Juvenalius Rugambwa amesema Kumalizika kwa Mtoko wa Kibingwa Msimu wa 5 tayari umekamilisha idadi ya washindi 400 na kuwakonga nyoyo zao washindi hao kwa kushuhudia mtanange huo mkali.
"Mtoko wa Kibingwa imekuwa sehemu kubwa ya burudani katika shamrashamra ya Derby hiyo kubwa ambapo washindi wamepata walichohaidiwa na kampuni ya betika kwa asilimia 100."
Rugambwa ameeleza namna washindi hao walivyopata bata la burudani pale Kidimbwi, chakula cha mchana kutoka kwa Shishi food pamoja na Msafara wenye king'ora hadi uwanjani.
Hata hivyo amehaidi Mtoko wa Kibingwa msimu ujao utakuwa mkubwa zaidi kuliko misimu iliyopita ili kuwapa fursa watu wengi zaidi kushuhudia Ligi hiyo.
"Kila msimu tutaendelea kuboresha zaidi ili kuwapa fursa idadi kubwa ya Mabingwa na sisi betika tumekuwa mfano mzuri kuonyesha kuwa tukihaidi jambo tunatekeleza na kudhihirisha kuwa Mtoko wa Kibingwa hauna Mbambamba ".
Nae Mshindi wa Mtoko wa kibingwa Rashid Omary amesema kwa upande wake amesema amefurahi mtoko huo wakibabe kutoka betika pamoja na kichapo kutoka kwa simba na kuwashauri watu waiamini kampuni hiyo kuwa haina mbambamba wakihaidi wanatekeleza.

Post a Comment