WIZARA YA NISHATI YAOMBA KUIDHINISHIWA BAJETI YA SHILINGI TRILIONI TATU NA USHEEE
Na Humphrey Shao, Michuzi TV
Waziri wa Nishati January Makamba Makamba leo amesimama Bungeni kuliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi 3,048,632,519,000 kwaajili yamatumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake.
Waziri amakamba alilieleza Bunge kuwa mchanganuo wa fedha hizo ni kama ifuatavyo:
i. Shilingi 2,960,702,821,000 sawa na asilimia 97.1 ya Bajeti yote ya Wizara ni kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo. Kati ya fedha hizo, Shilingi 2,609,156,128,000 ni fedha za ndani na Shilingi 351,546,693,000 ni fedha za nje; na
ii. Shilingi 87,929,698,000 sawa na asilimia 2.9 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida. Kati ya fedha hizo Shilingi 71,637,112,000 kwa ajili ya Matumizi Mengineyo (OC) na Shilingi 16,292,586,000 kwa ajili ya Mishahara (PE) ya watumishi wa Wizara na Taasisi zake.
Wakati akisoma Bajeti hiyo Waziri Makamba aliweza kugusia baadhi ya maeneo na kueleza kuwa kwa mara ya kwanza tutaingiza umeme wa jua wa Megawati 50 kwenye gridi ya Taifa, Juzi tumesaini mkataba kwa ajili hiyo. Mradi huu uko Kishapu Mkoani Shinyanga.
Serikali itachukua hatua za dharura za kuimalisha upatikanaji wa umeme mkoa wa Mtwara, tumekaa na Wabunge w Mtwara na tumekubaliana hatua za kuchukua'
"Mahitaji ya umeme yameongezeka kwa kasi katika mwaka huu unaoisha, ambapo rekodi ya kiwango cha juu cha mahitaji ya umeme (peak demand) imevunjwa mara nane, Hali ya uzalishaji wa nishati ya umeme nchini kwa sasa haiendani na mahitaji ya shughuli za kiuchumi na kijamii yanayoongezeka kwa kasi" Amesema Waziri wa Nishati, January Makamba

Waziri Makamba amekiri wazi kuwa Kuna upungufu mkubwa wa miundombinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme. Vilevile, baadhi ya miundombinu ni chakavu na mingine imezidiwa na matumizi ikilinganishwa na ilivyokusudiwa.
Ametaja kuwa Pamoja na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kupeleka umeme vijijini, bado kuna takribani vitongoji 36,101 kati ya vitongoji 64,760 ambavyo havijafikiwa na umeme pia Mahitaji ya gesi asilia nchini kwa ajili ya uzalishaji wa umeme, matumizi katika taasisi, majumbani, viwandani na kwenye vyombo vya moto yameendelea kuongezeka pasipo kwenda sambamba na kasi ya uzalishaji wa nishati hiyo.
Amesema Mwelekeo wa Wizara ni kuongeza uzalishaji wa umeme kutoka Megawati 1,872.05 za sasa na kufikia Megawati 5,810.22 mwaka 2025/26 ili kukidhi mahitaji ya umeme nchini, Mwelekeo wa wizara ni kuongeza idadi ya njia za kusafirisha umeme kutoka kilomita 6,110.28 za mwaka 2021/22 hadi kufikia kilomita 10,670.95 mwaka 2025 na kuendelea.
Ametaja wazi kuwa Kwa upande wa njia za usambazaji umeme, muelekeo ni kufikia kuongeza njia hizi kutoka kilomita 154,567.75 za mwaka 2021/22 hadi kufikia kilomita 226,302.64 mwaka 2025/26, Serikali itatilia mkazo matengenezo na utunzaji endelevu wa miundombinu ya umeme, pamoja na kukabiliana na upotevu wa umeme.
Waziri Makamba amesema kuwa Serikali kupitia TPDC itaendelea kushiriki katika biashara ya uagizaji wa bidhaa za mafuta na kupitia kampuni yake tanzu ya TANOIL, Shirika hilo litaendelea kushiriki katika biashara ya usambazaji wa bidhaa za mafuta nchini' - Waziri wa Nishati, January Makamba
Aidha Serikali pia itaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Kuhifadhi Mafuta ya Kimkakati ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa mafuta
na kuitumia vyema jiografia yake ya kuzihudumia nchi jirani kwa biadhaa za mafuta kwa manufaa ya kiuchumi na maendeleo ya Taifa letu
Ameweka wazi kuwa Serikali kupitia TPDC itaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi Asilia kutoka Ntorya hadi Madimba mkoani Mtwara. Lengo la mradi huu ni kuongeza uzalishaji wa gesi asilia ili kukidhi mahitaji yanayoendelea kuongezeka nchini.
"katika mwaka ujao wa fedha, Serikali itaanza kazi za awali za maandalizi ya mradi; kuanza tafiti mbalimbali za kitaalamu zikiwemo usanifu wa awali wa kihandisi (Pre-FEED); kuendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa Serikali katika uendeshaji na usimamizi 48 (i) Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia kuwa Kimiminika (Liquefied Natural Gas – LNG) wa mradi; kuendelea na stadi za kisayansi na stadi za mitambo itakayosimikwa katika eneo la mradi na kufanya tathmini kuhusu hali za wananchi waliolipwa fidia ili kupisha mradi (post – compensation livelihood study). Aidha, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria Mahsusi ya mradi huu, itakayosimamia uendeshaji na utekelezaji wa mikataba iliyoingiwa" Waziri wa Nishati, January Makamba
Amesema Serikali katika mwaka ujao wa fedha itajenga Chuo kikubwa cha Kimataifa cha ufundi katika
49 Gesi na Mafuta pamoja na Umeme mkoani Lindi. Pia, ili kupanua fursa na kushamirisha maendeleo ya viwanda na kuongeza ajira.

Amesema Serikali kwa kushirikiana na Sekta Binafsi itaanzisha Eneo Maalum la Kiuchumi (Special Economic Zone) katika eneo la mradi ili kuvutia viwanda na shughuli nyingine za kiuchumi zitakazonufaika na miundombinu ya kiuchumi, ikiwemo bandari na umeme wa uhakika pamoja na gesi, itakayokuwepo kutokana na utekelezaji wa mradi huu wenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 42.
Ameongeza kuwa Serikali kupitia TPDC itaendelea na kazi mbalimbali za utafutaji wa mafuta na gesi asilia katika vitalu vya kimkakati ikiwa ni pamoja na Mnazi Bay Kaskazini,
Eyasi– Wembere, Songo Songo Magharibi, Ziwa Tanganyika
na Vitalu Na. 4/1B na 4/1C.
Waziri Makamba amesema anatoa shukrani zake za dhati kwa Spika wa Bunge na kwa Waheshimiwa Wabunge wote.
Waziri wa Nishati January Makamba akisoma makadirio ya Bajeti ya ya Wizara yake Bungeni leo.
Sehemu ya Wabunge wakiwa ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.
Post a Comment