UWANJA WA AMAAN KUKABIDHIWA KWA SERIKALI DISEMBA MWISHONI MWAKA HUU

Rais Dk. Mwinyi amesema hayo leo alipokagua maendeleo ya ukarabati mkubwa wa uwanja wa Amaan, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 24 Novemba 2023.
Aidha Rais Dk.Mwinyi amempongeza mkandarasi kampuni ya Orkun kwa kazi nzuri ya kuukarabati uwanja huo ambapo wametumia miezi sita tu.
Mkandarasi huyo ameahidi kuikabidhi Serikali uwanja huo mwishoni mwa mwezi wa Disemba mwaka huu.

Post a Comment